PICHA ZA WANA USCF-SJUT KATIKA TUKIO LA UZINDUZI WA ALBAMU YA CHOIR YA NEW JERUSALEMU TAREHE 5/7/2015

MGENI RASMI AKIBARIKI DVD ZA ALBAMU YA" MUNGU KWETU SISI NI KIMBILIO"(kulia)TUKIO LA UZINDUZI WA ALBAMU YA CHOIR YA NEW JERUSALEMU TAREHE 5/7/2015

SHEREHE YA KUWAAGA WAHITIMU WANAKWAYA 24 JULY, 2015.

Uongozi wa the New Jerusalem choir ya USCF-CCT St. John's University of Tanzania Tunapenda kuwashukuru wote mliojumuika pamoja nasi kuwaaga wanakwaya wahitimu walionza masomo yao mwaka 2011 na 2012,

KUTIMIA KWA UNABII WA NYAKATI ZA MWISHO

Dalili ya Mvua ni mawingu, hivyo kwa mtu mwenye busara, aliyeanika nguo zake nje anapoona tu mawingu yametanda kila mahali, anajua kwamba mvua wakati wowote inaweza kunyesha, na hakika atafanya haraka kwenda kuzianua nguo hizo.

Tunatoa Huduma ya Kutengeneza na kuendeleza Website na Blogs for free

Blog hii ya USCF-SJUT imetengenezwa na inaendelezwa na Joel Elphas kwa kushirikiana na USCF-SJUT. kwa mawasiliano kuhusiana na kuendeleza Blog hii wasiliana nae kwa namba 0757 755 228 au 0655 755 228 au elphasjoel@yahoo.com Pia tunatoa huduma za kutengeneza Website kwa bei nafuu pamoja na Blog

MAOMBI YENYE UWEZO WA KUPASUA ANGA

Moja kati ya silaha kuu, ambayo inamwezesha mtoto wa Mungu kushinda vita dhidi ya majeshi ya giza, ni maombi. Hofu kubwa kwa shetani na majeshi yake, ni pale anapokuwapo mtu mwenye nguvu ya kuzalisha maombi yaletayo moto, na hatimaye kuleta athari kubwa sana katika ufalme wa giza.

Wednesday, November 18, 2015

RATIBA ZA IBADA YETU USCF-CCT




JUMATATU-SOCIAL STUDY-MUDA SAA 07 :00 HADI SAA 08:00 USIKU
JUMANNE-HUDUMA YA NENO-07:00-08:00 USIKU
JUMATANO-BIBLE SHARING-07:00-08:00 USIKU
ALHAMIS-HUDUMA YA NENO-07:00-08:00 USIKU
IJUMAA-FRIDAY FELLOWSHIP-12:00-13:00 MCHANA
               -PRAISE AND WORSHIP-07:00-08 USIKU
JUMAMOS-MAOMBI-07:00-08:00 USIKU
JUMAPILI-IBADA YA CCT-07:00-09:00 ASUBUHI
                   USHUHUDA-07:00-08:00 USIKU




IMEANDALIWA NA PRCR-2015/2016
Share:

USCF-SJUT NEWS

Designed by Joel Elphas @ 2015. Powered by Blogger.

Recent Posts