Saturday, July 25, 2015

SHEREHE YA KUWAAGA WAHITIMU WANAKWAYA 24 JULY, 2015.

Uongozi wa the New Jerusalem choir ya USCF-CCT St. John's University of Tanzania  Tunapenda kuwashukuru wote mliojumuika pamoja nasi kuwaaga wanakwaya wahitimu walionza masomo yao mwaka 2011 na 2012, na wengi wao ndio waanzilishi wa kwaya hii kama vile STANLEY SIMON wakati USCF CCT inaanzishwa SJUT, mwaka 2012. Tunawatakia heri na mafankio mema wahitimu wote na MUNGU  awatangulie.

BY: ZABRON DAUD
M/KITI-KWAYA



Share:

USCF-SJUT NEWS

Designed by Joel Elphas @ 2015. Powered by Blogger.

Recent Posts