Tuesday, July 21, 2015

PICHA ZA WANA USCF-SJUT KATIKA TUKIO LA UZINDUZI WA ALBAMU YA CHOIR YA NEW JERUSALEMU TAREHE 5/7/2015

 MGENI RASMI AKIBARIKI DVD ZA ALBAMU YA" MUNGU KWETU SISI NI KIMBILIO"(kulia)

ASSOCIATES WA USCF AMABO WALIANZISHA KWAYA HII YA USCF-CCT SJUT
 MKUU WA CHUO AKIKATA KEKI (katikati) na pemebeni ni TUSEKILE JEFF & JAQUELINE MALECELA


 TUSEKILE AKITAYARISHA KEKI YA UZINDUZI
 ZABRON DAUD NA SUBIRA ARONI(wanakwaya)
 Dada nizamu wa kwaya akimlisha keki rafiki yake ambaye ni Mtunza hazini wa kwaya

 mratibu mstaafu wa maombi akiliswa keki
BROTHER USCF-CCT SJUT akipiga kinanda siku ya uzinduzi naye ni associates kama MWL wa kwanza wa kwaya hii
 WANAKWAYA YA "THE NEW JERUSALEM CHOIR"










Share:

USCF-SJUT NEWS

Designed by Joel Elphas @ 2015. Powered by Blogger.

Recent Posts