PICHA ZA WANA USCF-SJUT KATIKA TUKIO LA UZINDUZI WA ALBAMU YA CHOIR YA NEW JERUSALEMU TAREHE 5/7/2015
MGENI RASMI AKIBARIKI DVD ZA ALBAMU YA" MUNGU KWETU SISI NI KIMBILIO"(kulia)TUKIO LA UZINDUZI WA ALBAMU YA CHOIR YA NEW JERUSALEMU TAREHE 5/7/2015
SHEREHE YA KUWAAGA WAHITIMU WANAKWAYA 24 JULY, 2015.
Uongozi wa the New Jerusalem choir ya USCF-CCT St. John's University of Tanzania Tunapenda kuwashukuru wote mliojumuika pamoja nasi kuwaaga wanakwaya wahitimu walionza masomo yao mwaka 2011 na 2012,
KUTIMIA KWA UNABII WA NYAKATI ZA MWISHO
Dalili ya Mvua ni mawingu, hivyo kwa mtu mwenye busara, aliyeanika nguo zake nje anapoona tu mawingu yametanda kila mahali, anajua kwamba mvua wakati wowote inaweza kunyesha, na hakika atafanya haraka kwenda kuzianua nguo hizo.
Tunatoa Huduma ya Kutengeneza na kuendeleza Website na Blogs for free
Blog hii ya USCF-SJUT imetengenezwa na inaendelezwa na Joel Elphas kwa kushirikiana na USCF-SJUT. kwa mawasiliano kuhusiana na kuendeleza Blog hii wasiliana nae kwa namba 0757 755 228 au 0655 755 228 au elphasjoel@yahoo.com Pia tunatoa huduma za kutengeneza Website kwa bei nafuu pamoja na Blog
MAOMBI YENYE UWEZO WA KUPASUA ANGA
Moja kati ya silaha kuu, ambayo inamwezesha mtoto wa Mungu kushinda vita dhidi ya majeshi ya giza, ni maombi. Hofu kubwa kwa shetani na majeshi yake, ni pale anapokuwapo mtu mwenye nguvu ya kuzalisha maombi yaletayo moto, na hatimaye kuleta athari kubwa sana katika ufalme wa giza.
Sunday, July 26, 2015
COMMUNITY SERVICE 26/07/2015 NA KUOMBEA NEW PRODUCT YA WANAFUNZI WAHITIMU 2015 & MITIHANI (UE)
Saturday, July 25, 2015
SHEREHE YA KUWAAGA WAHITIMU WANAKWAYA 24 JULY, 2015.
Wednesday, July 22, 2015
SEMINA SEMINA SEMINA SEMINA
Tuesday, July 21, 2015
PICHA ZA WANA USCF-SJUT KATIKA TUKIO LA UZINDUZI WA ALBAMU YA CHOIR YA NEW JERUSALEMU TAREHE 5/7/2015
ASSOCIATES WA USCF AMABO WALIANZISHA KWAYA HII YA USCF-CCT SJUT
MKUU WA CHUO AKIKATA KEKI (katikati) na pemebeni ni TUSEKILE JEFF & JAQUELINE MALECELA
TUSEKILE AKITAYARISHA KEKI YA UZINDUZI
ZABRON DAUD NA SUBIRA ARONI(wanakwaya)
Dada nizamu wa kwaya akimlisha keki rafiki yake ambaye ni Mtunza hazini wa kwaya
mratibu mstaafu wa maombi akiliswa keki
BROTHER USCF-CCT SJUT akipiga kinanda siku ya uzinduzi naye ni associates kama MWL wa kwanza wa kwaya hii
Saturday, July 18, 2015
TANGAZO KWA WOTE
Uongozi wa USCF_CCT St. John's University of Tanzania tunapenda kuwashukuru wale wote mlioshiriki kwa namna ya pekee kukamilisha tukio la tarehe 5/07/2015 la uzinduzi wa albamu ya kwanza ya video ya kwaya yetu ya THE NEW JERUSALEM CHOIR, Jina la album inaitwa "MUNGU KWETU SISI NI KIMBILIO". Mgeni rasmi alikuwa ni makamu mkuu wa chuo (VC) PROF. MBENAH, Sisi tunasema Mungu awabariki sana hatuna cha kuwalipa lakini Mungu atawakumbuka wote yaani kila mmoja kwa kwa sadaka yake aliyotoa kwa MungU.
KESHO TAREHE 19/07/2015 wana USCF wote tutaabudu ibada ya pamoja katika chuo cha TRUST eneo la nzuguni ni chuo cha AGRICULTURE AND REAEARCH.