SHALOM!
USCF-CCT
SJUT INAWAKARIBISHENI WOTE KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU ITAKAYOANZA
TAREHE 22/07/2015 (JUMATANO) HADI TAREHE
24/07/2015 (IJUMAA).
MTUMISHI WA MUNGU CANNON CHITETO (UNIVERSITY ASSISTANCE CHAPLAIN) ATAHUBIRI. Alika
na wenzako tujifunze pamoja habari hizi njema za MUNGU
Usitamani kukosa.