Saturday, July 18, 2015

TANGAZO KWA WOTE

                                                TANGAZO               TANGAZO
Uongozi wa USCF_CCT St. John's University of Tanzania tunapenda kuwashukuru wale wote mlioshiriki kwa namna ya pekee kukamilisha tukio la tarehe 5/07/2015 la uzinduzi wa albamu ya kwanza ya video ya kwaya yetu ya THE NEW JERUSALEM CHOIR, Jina la album inaitwa "MUNGU KWETU SISI NI KIMBILIO". Mgeni rasmi alikuwa ni makamu mkuu wa chuo (VC) PROF. MBENAH, Sisi tunasema Mungu awabariki sana hatuna cha kuwalipa lakini Mungu atawakumbuka wote yaani kila mmoja kwa kwa sadaka yake aliyotoa kwa MungU.

KESHO TAREHE 19/07/2015  wana USCF wote tutaabudu  ibada ya pamoja katika chuo cha TRUST eneo la nzuguni ni chuo cha AGRICULTURE AND REAEARCH.



Share:

USCF-SJUT NEWS

Designed by Joel Elphas @ 2015. Powered by Blogger.

Recent Posts